Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 19 August 2017

Aina 10 ya vipimo anavyotakiwa mwanamke kucheck mara kwa mara

Medical Tests Every Woman Needs to Be Healthy for Life
Kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ni jambo muhimu kwetu wanadamu kwani husaidia mtu husika kutambua hali yake kiafya kabla ya tatizo kufika katika hatua mbaya zaidi.

Lakini huenda kufanya uchunguzi wa kiafya kwa wanawake mara kwa mara ikawa ni muhimu zaidi na leo nataka kueleza aina ya uchunguzi anaoweza kufanya mwanamke.

1. Magonjwa yanayoenezwa kwa njia ya ngono (magonjwa ya zinaa)

2. Uchunguzi wa afya matiti yako.

3. Uchunguzi wa kiwango cha cholesterol ndani ya mwili wako

4. Uchunguzi wa afya ya ngozi yako

5. Hali ya msukumo wa damu (blood pressure)

6. Uchunguzi wa macho (ooni)

7. Uchunguzi wa kiwango cha sukari mwilini (kisukari)

8. Uchunguzi wa afya ya moyo.

9.Uchunguzi wa afy ya mifupa

10. Kuchunguza kiwango cha vitamin D mwilini.

ZINGATIA
Hivyo ni baadhi tu ya vipimo unavyoweza kufanya kila baada ya mda fulani lakini kumbuka kuwa unaweza kujenga utaratibu wako mwenyewe w kufanya uchunguzi wa afya kila baada ya miezi 6 au miezi 3 ili kujua hali yako kiafya na nini kinaendelea ndani ya mwili kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment