Saturday, 12 August 2017

Aina 5 ya vyakula ambavyo huleta njaa haraka ukila


Hivi unafahamu kuna baadhi ya vyakula, matunda au vinywaji unapovitumia huchangia kusababisha kuhisi njaa kwa haraka zaidi kuliko ilivyo kawaida

Sasa leo nimeona nikuletee orodha hii ya vyakula ambavyo huchangia kuhisi njaa haraka:-

1. Juisi (hasa ya chungwa)

2. Fast Food

3. Vilevi (pombe)

4. Mkate hasa mweupe

5. Tambi

6. Pizza

Tunaweza pia kukupatia ushauri kuhusu lishe bora, wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment