Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 26 August 2017

Aina 6 ya viungo vyenye kuongeza uwezo wa akili 'brainpower'


Uwezo wa kufikiri ni moja kati ya mambo muhimu kwa binadamu yoyote kwani unapokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri mambo husaidia hata urahisi wa kupambana na changamoto mbalimbali katika maisha yako.

Leo napenda kukufahamisha hii orodha ya viungo ambavyo vikitumika mara kwa mara huweza kusaidia kuboresha uwezo wa ubongo wako.

1. Pilipili Manga

2. Mdalasini

3. Manjano

4. Tangawizi

5. Karafuu

6. Mbegu za Uwatu.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri zaidi kuhusu lishe bora tunapatikana kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

More details:  www.lifemartini.com


1 comment: