Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 31 August 2017

Je, unajua kuwa juisi ya bilinganya ni muhimu kwako?

Bilinganya ni aina ya mboga ambayo inapatikana katika kundi la mbogamboga, lakini si mboga tu bali nayo inafaida zake kiafya.

Siku zote Mandai Products Company Limited tumekuwa tukiamini kwamba kila kitu kilichopo chini ya jua ni baraka ya mwenyezi Mungu na kinafaida zake kwetu sisi binadamu.

Kwa leo nimeona nikwambie hizi faida kadhaa za juisi ya bilinganya:-

1. Husaidia kulinda afya ya moyo
Bilinganya ni mboga ambayo inavirutubisho mbalimbali ikiwa ni pamoja na antioxidants, beta - carotene pamoja na fiber kwa pamoja vyote hivyo husaidia kulinda afya ya moyo na kusaidia kutozongwa na matatizo ya 'stroke'.

2. Husaidia kulinda uzito wa mwili
Kutokana na bilinganya kuwa na kiasi kikubwa cha fiber hufanya juisi hii kumfanya mhusika kuhisi ameshiba mda mrefu ambayo husaidia kutokuwa na uzito mkubwa.

3. Husaidia kulinda tatizo la kisukari

4. Huboresha afya ya akili

5. Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

6. Huboresha afya ya ngozi na nywele

7. Husaidia kuboresha afya ya mifupa ya damu

Asante kwa kuendelea kufuatilia mtandao huu kwa mengine zaidi unaweza kuwasiliana na mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa kwenye simu yako kutoka kwetu kila au kila mara tutakapokuwa tunapost.

No comments:

Post a Comment