Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 23 August 2017

Chai ya mdalasini inavyoweza kuwasaidia watu wenye 'pressure'

MDALASINI ni miongoni mwa viungo vinavyotumika kuongeza ladha katika vyakula, pia kikitumika ipasavyo huweza kutoa ahuenu kwa matatizo mbalimbali likiwemo la 'pressure'.

Leo naomba nikueleze msomaji wangu namna ya kutumia mdalasini kwa wenye tatizo hilo:-

Unapotumia kiungo hiki kila siku katika mlo wako huweza kupunguza madhara ya tatizo la pressure , lakini pia huwasaidia hata watu wenye shida ya kisukari pia.

Kwa mujibu wa jarida la clinical nutrition linaeleza kuwa matumizi ya mara kwa mara ya mdalasini hususani asubuhi huongeza zaidi manufaa yake kwa mtumiaji.

Unaweza kuandaa maji ya moto kikombe kimoja na kuweka kijiko kimoja cha unga wa mdalasini kisha tumia unga huo kila siku asubuhi kwa mwezi mzima mfululizo bila shaka utaona mabadiliko.

Kwa ufafanuzi zaidi kuhusu somo hili au kiungo hiki unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment