Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 23 August 2017

Fahamu jinsi binzari inauwezo wa kumaliza tatizo lako la mafua

Turmeric
Binzari ni kiungo ambacho hutumiwa sana jikoni kwa ajili ya kusaidia kubadili rangi ya vyakula, lakini si wengi wanaofahamu kwamba kiungo hiki kinamanufaa kiafya pia hasa pale kinapotumika vizuri.

Leo naomba nikueleza msomaji wangu namna sahihi ya kutumia kiungo hiki ili kumaliza tatizo la mafua.

Weka kijiko kimoja cha chakula cha unga wa binzari kwenye glasi ya maziwa ya moto kisha changanya vizuri halafu tumia mchanganyiko huo kutwa mara mbili asubuhi na jioni.

Kwa maelekezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa hivi karibuni kwa wewe mzanzibar tutakuwa karibu nawe pale magomeni ambapo tunataraji kufungua tawi letu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment