Tuesday, 1 August 2017

Faida 4 utakazozipata endapo utatumia mbegu za komamanga


Komamanga ni miongoni mwa matunda yenye manufaa kadhaa mwilini, lakini mbali na tunda hilo pia mbegu zake zinamanufaa mengine ndani ya miili yetu.

Zifuatazo ni baadhi ya faida za mbegu za komamanga:-

1. Hupambana na maambukizi ya bakteria.

2. Huboresha afya ya moyo.

3. Huboresha uwezo wa kufikiri.

4. Hupunguza tatizo la maumivu ya viungo

Naman ya kutumia mbegu hizo ni kuzizaga kisha utatumia mchanganyiko huo kama juisi na kutumia kila siku kama juisi, lakini kwa ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment