Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 2 August 2017

Faida 5 ambazo zitakufurahisha kuhusu ulaji wa magimbi

health benefits of Taaro
Magimbi ni moja ya zao ambalo hukubali sana kwenye maeneo yenye maji ya kutosha au unyevunyevu sana.

Asili ya magimbi inaelezwa kuwa ni Kusini Magharibi mwa Asia, lakini magimbi pia huwa na faida zake kwa mtumiaji.

Leo naomba nikueleze hii orodha ya mambo yatokanayo na kutumia magimbi.

1. Huimarisha kinga za mwili.

2. Husaidia kwa watu wenye lengo la kupunguza uzito

3. Hupunguza uwezekano wa kuzongwa na magonjwa ya moyo.

4. Yanasifika kwa kuwa na kiwango kikubwa cha fiber.

5. Husaidia kupunguza hali ya uchovu.

Kwa maelezo zaidi unaweza kutupata kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment