Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 15 August 2017

Faida 5 za kunywa maji asubuhi mapema sana


Unywaji wa maji ni miongoni mwa mambo muhimu sana kiafya na miili yetu asilimia kubwa imeatawaliwa na maji.

Lakini leo naomba kukueleza msomaji wangu kuhusu faida za kunywa maji wakati wa asubuhi sana.

1. Unapokunywa maji asubuhi sana husaidia kusafisha utumbo mkubwa na hivyo kufanya urahisi wa kunyonya virutubisho mwilini.

2. Unywaji wa maji asubuhi husaidia kuongeza uzalishaji wa damu.

3. Husaiida kupunguza uzito, unachotakiwa kufanya ni kunywa lita 4 ukiweza.

4. Husaiidia ukuzaji wa ngozi

5. Husaidia kusafisha sumu za mwilini

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment