Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 28 August 2017

Hii ndio njia rahisi ya kupunguza uzito kwa haraka zaidi

Watu wengi wamekuwa wakipata shida kuhusu suala la uzito kupita kiasi na kushindwa kutambua namna gani sahihi ya kukabiliana na tatizo hili.

Hapa ninazo njia kadhaa zitakazokusaidia kupunguza uzito wa mwili kwa haraka zaidi:-

Tumia asali na limao
Andaa maji ya uvuguvugu kikombe kimoja kisha changanya na asali pamoja na limao kisha tumia mchanganyiko huo asubuhi kabla ya chai. Fanya zoezi hili kila siku ndani ya miezi miwili mfululizo utaona mabadiliko.

Vitu vingine ambavyo huweza kupunguza uzito kwa haraka ni pamoja na matumizi ya tangawizi, kabeji, pilipili, chai ya kijani 'green tea' na maji ya kunywa.

Kwa ufafanuzi zaidi kuhusu somo hili unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Kumbuka kuwa hivi karibuni kwa wewe mzanzibar tutakuwa karibu nawe pale Magomeni ambapo tunataraji kufungua tawi letu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment