Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 7 August 2017

Hivi ndio vitu vilivyomo kwenye mbegu za maboga na faida zake

Mbegu za maboga nazo zinafaida kiafya zina protini na vitamin, huku ikiaminika kwamba, mbegu hizo huweza kupunguza mafuta kwenye mishipa ya damu na jambo la msingi zaidi ni kwamba gramu moja ya mbegu za maboga huwa na protini sawa na glasi moja ya maziwa.

Watu wengi wanaweza kudharau mbegu za maboga pengine kwa kutokufahamu faida zake, lakini ni wazi kwamba mbegu hizi ni miongoni mwa mbegu zenye faida kubwa mwilini, kwani huweza kuzuia na kutibu hata baadhi ya magonjwa hatari yaliyoshindikana hospitalini.

Miongoni mwa faida za mbegu hizi ni pamoja na kuimarisha afya ya moyo, hii ni kutokana na kuwa na kiwango kingi cha madini aina ya magnesium, ambayo ni muhimu kwa afya ya moyo na uimarishaji wa mifupa pamoja na mishipa ya damu.

Aidha, mbegu hizi za maboga pia zina kiwango cha madini aina ya 'zinc', ambayo faida yake mwilini ni pamoja na kuimarishaji kinga za mwili, Hali kadhalika 'zinc' huimarisha nguvu za kiume.

Kutokana na kuwa na kiwango kingi cha madini ya 'zinc', tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya mbegu zenyewe za maboga huweza pia kutoa ahueni kwa watu wenye saratani ya kibofu.

Jinsi ya kutumia mbegu hizi utahitajika kupata kiasi cha mbegu za maboga kisha saga na utatumia unga huo kwa kuweka kwenye maji ya motoa ua uji. Tumia mara mbili kwa siku asubuhi na jioni

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment