Tuesday, 1 August 2017

Je, unazifahamu hizi faida 3 za mbegu za mapera mwilini mwako?


Kuna baadhi ya mambo unapoyasikia kwa mara ya kwanza inaweza ikawa ni ngumu kuamini kidogo kama huenda yanaukweli wowote.

Mfano leo nikikwambia kuwa mbegu za pera nazo zinafaida mwilini mwako nafahamu baadhi ya watu wanaweza kutoamini kabisa.

Ssa leo naomba nikueleza baadhi ya faida za mbegu za pera kama ifuatavyo:-

Kwa kawaida pera huwa na mbegu nyingi na huweza kuwa na rangi ya pimki au nyeupe kutegemeana na rangi ya pera.

1. Ni kinga ya tatizo la kukosa choo.
Moja faida ya mbegu hizi ni pamoja na kuondoa tatizo la ukosefu wa choo kutokana na tunda hili kusheheni nyuzinyuzi nyingi

2. Huweza kupunguza madhara ya saratani ya kibofu
Mbegu hizi zinapotumiwa vizuri huweza kusaidia kuondoa seli zinazosababisha saratani hiyo  kutokana na kuwa na kirutubisho kiitwacho 'lycopene' ambayo huhitajia kukabiliana na saratani ya kibofu.

3. Husaidia kuthibiti kiwango cha sumu mwilini
Mbegu hizi husaidia kupunguza kiwango cha sumu mwilini kutokana na kuwa na mafuta aina ya 'polyunsaturated fatty acids'.

Kwa ushauri zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com au fika ofisi zetu Makao makuu Ukonga, Mombasa mtaa wa Mongolandege jijini Dar es Salaam.

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

2 comments:

 1. Hall of Fame - 2017, Live Stream, Pro Football, TV Online, How to watch Free

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  https://halloffame-game.com

  Hall of Fame

  ReplyDelete