Tuesday, 8 August 2017

Kama hufahamu kazi za mzizi wa nanasi, soma hapa

Mizizi ya nanasi inapochemshwa huwa na uwezo wa kulinda afya ya figo na kuiepusha dhidi ya matatizo mbalimbali.

Pamoja na mizizi hiyo kuwa na manufaa hayo, pia maua yake ya nanasi yanapochanganywa na asali huwa na uwezo wa kutuliza mafua na kikohozi.

Mbali na hayo, yote pia tunda lenyewe huwa ni msaada kwa wale wenye shida ya matatizo ya akili na kupoteza kumbukumbu.

Tunda hili pia husaidia kutuliza matatizo ya tumbo, ini, magonjwa ya bandama, homa, pumu pamoja na kusaidia kuongeza maziwa kwa kinama.

Hayo ni machache tu kuhusu nanasi kwa mengine mengi hakikisha unawasiliana na Mtaalam Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandait

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment