Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 23 August 2017

Kamahupati usingizi vizuri, tumia mbinu hizi 4


Je, kuna wakati huwa unajikuta unakosa kabisa hali ya kupata usingizi licha na usijue sababu kubwa nini?

Hali ya kukosa usingizi huweza kuchangiwa na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na matumizi fulani fulani ya dawa, lakini pia hata matatizo kadhaa ya kiafya.

Sasa leo ninayo orodha ya vyakula ambavyo huweza kumsaidia mtu mwenye shida ya kukosa usingizi:-

1.  Ndizi
Tunda hili hufaa kuleta usingizi kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya magnesium na potassium.

2. Korosho/ Karanga
Hizi nazo huweza kumsaidia mtu mwenye kukosa usingizi kutokana na kuwa na madini ya magnesium kiwango cha asilimia 90%.

3.Juisi ya passion

4. Nanasi
Hili ni tunda muhimu nalo kwa wenye shida ya usingizi kwani lina kirutubisho kiitwacho 'melatonin' ambayo ni nzuri kwa afya ya usingizi.

Kwa ufafanuzi zaidi au ushauri kuhusu lishe na virutubisho vyetu unaweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment