Friday, 11 August 2017

Kazi 4 za majani ya mpera ambazo lazima zikushangaze

Pera ni tunda la msimu lenye wingi wa vitamini A na C pamoja na madini ya potassiam. Licha ya watu wengi kulifahamu tunda hili wengi wao hawafahamu ya kwamba hata majani yake yana faida pia.

Leo naomba tuangalie faida za majani hayo katika kulinda afya zetu.1.Kazi ya kwanza majani hayo hsaidia kutibu majeraha mbalimbali unachotakiwa kufanya ni kuponda majani ya mpera na kuweka sehemu ya kidonda au sehemu ya jeraha iliyoathirika ila kuondokana maambukizi haya yale yatokanayo na bakteria.

2. Unapoumwa na wadudu pia unaweza kutumia majani ya mpera yalipondwa na kukupatia ahueni zaidi

3. Kuhusu afya ya nywele majani haya pia husaidia kuondoa mba endapo yakitumika maji yake kuoshea nywele.

4. Husaidia kuboresha afya ngozi majani hayo endapo yatatumika ipasavyo

Kwa maelezo zaidi kuhusu uandaaji wake wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment