Thursday, 3 August 2017

Kazi 5 za parachichi kwenye ngozi yako


Wengi tunalifahamu parachichi na umuhimu wake pia, lakini tunda hili linazofaida zake zaidi endapo likitumika vizuri.

1. Huondoa mikunjo ya ngozi.

2. Hufanya ngozi kutozeeka mapema.

3. Hupunguza chunusi na madoa yanayosababishwa na chunusi

4. Husaidia ngozi kuirejeshea unyevu asilia

5. Huzuia nywele kukauka sana

Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300 / 0769 400 800 au barua pepe dkmandatz@gmail.com

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment