Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 23 August 2017

Kazi 8 za chai yenye limao ndani ya mwili wako


Limao siyo tunda linalopendwa sana na watu kutokana na ladha yake ya uchachu, lakini tunda hili hutumika kwa sababu maalum labda kukata shombo au kuzui kichefuchefu pia.

Licha ya kutotumika sana kwa tunda hili lakini bado linazo faida zake endapo likitumika ipasavyo.

Leo nataka kuziorodhesha faida za chai yenye limao, lakini sitatoa maelezo ukitaka maelezo yake kwa undani na namna ya kundaa vizuri na kutumia utanipigia kwenye namba hii ya 0716 300 200.

1. Faida ya kwanza husaidia kuzuia tatizo la kukosa choo.

2. Faida ya pili hutumika kama njia ya kupunguza sumu ndani ya mwili.

3. Husaidia kuimarisha kinga za mwili

4. Husaidia kupunguza uzito

5. Husaidia kuboresha afya ya kinywa kwa ujumla.

6. Huboresha mfumo wa upumuaji kwa ujumla.

7. Hulinda afya mifupa

8. Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment