Saturday, 12 August 2017

Kazi ya vitamin C mwilini na vitu vyenye vitamin hiyo kwa wingiVitamin C ni miongoni kati ya vitamin muhimu ndani ya miili yetu wanadamu kutokana na kuwa na uwezo wake wa kuimarisha kinga za mwili na hivyo kuifanya miili yetu kuwa na uwezo mzuri wa kupambana na maradhi na maambukizi mbalimbali.

Hata hivyo, watu wengi wamekuwa wakidhani vitamin C hupatikana zaidi kwenye tunda aina ya chungwa na si vinginevyo, lakini leo naomba kukwambia baadhi ya vitu vingine vyenye vitamin C nyingi zaidi hata ya chungwa.

Vifuatavyo ni miongoni mwa vitu vyenye vitamin C nyingi zaidi ya Chungwa.

1. Pilipili Hoho

2. Papai

3. Nanasi

4. Embe

5. Mapera

6. Broccoli

7. Pilipili

Unaweza kuwasiliana nasi kuhusu masuala yote ya lishe bora kwa ujumla tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment