Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 29 August 2017

Mambo 10 yanayoweza kuharibu utendaji wa figi yako

1. Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
2. Kutumia chumvi nyingi kupitadi kiwango
3. Unywaji wa pombe kupita kiasi
4. Kula nyama mara nyingi
5. Kubana mkojo muda mrefu
6. Kutokula chakula cha kutosha
7. Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
8. Kutumia mara kwa mara dawa za kutuliza maumivu na bila kupata ushauri kutoka kwa wataalam.
9. Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
10. Kutopata muda wa kutosha kupumzika

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na nyingine nyingi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment