Tuesday, 1 August 2017

Mambo 3 yatakayokushangaza endapo utatumia majani ya mkomamanga


Kwa wale wafuatiliaji wa tovuti yetu hii naamini kuwa tayari tumeshazungumza kuhusu faida za tunda la komamanga pamoja na mbegu zake sasa ni zamu ya kuzifahamu faida za majani ya mti wa mkomamanga.

Miongoni mwa faida za majani ya mti wa mkomamanga ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Husaidia kutuliza kikohozi
Unachotakiwa kufanya ni kukausha majani hayo kisha yasage halafu utachanganya na pilipili manga ya unga kisha tumia mchanganyiko huo kuuandaa kama chai halafu kunywa asubuhi na jioni kwa siku 5 tu.

2. Husaidia kutuliza maumivu makali ya tumbo.
Majani hayo yanapochemshwa na kunywa kwa mtu mwenye maumivu ya tumbo hutuliza maumivu hayo pamoja na kurekebisha mfumo wa umeng'enyaji wa chakula tumboni.

3. Humaliza matatizo ya vidonda vya mdomoni
Maji yatokanayo na majani ya mkomamanga husaidia kulinda afya ya kinywa na kumaliza tatizo la vidonda vya kwenye ulimi na nje ya mdomo.

Kwa ufafanuzi zaidi unaweza kutupigia simu sasa hivi kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment