Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 16 August 2017

Mambo 4 yatakayotokea kama hutokunywa maji ya kutosha


Unywaji wa maji ni muhimu kwa afya yako na inashauriwa angalau  kwa siku unywe glasi nane za maji ya kunywa.

Hata hivyo, kwa kawaidia miili yetu asilimia kubwa imetawaliwa na kiwango kikubwa cha maji.

Leo ninayo orodha ya matatizo ambayo huweza kujitokeza endapo mhusika hatokunywa maji ya kutosha.

1. Mtu asiye kunywa maji ya kutosha huweza kuhisi uchovu na kupoteza nguvu za mwilini

2. Mtu asiyekunywa maji ya kutosha anaweza kupata shinikizo la chini au la juu la damu

3. Mtu asiyekunywa maji ya kutosha mwili wake huzongwa zaidi na cholesterol.

4. Mtu asiyekunywa maji pia ni rahisi kupatwa na hali ya kukosa choo.

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

1 comment: