Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 25 August 2017

Mambo 6 yakufanya ili kuimarisha kinga zako za mwili

Kinga za mwili ndio msingi afya ya binadam kwani unapokuwa na kinga imara pia husaidia kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla na kutozongwa na magonjwa hovyo..

Leo nataka kukwambia mambo ya kufanya endapo utagundua kuwa kinga zako za mwili zimeshuka.

1. Punguza kuwa na msongo wa mawazo 'stress'
Msongo wa mawazo wa mara kwa mara ni miongoni mwasababu ambazo huweza kuchangia kuendelea kushuka kwa msongo wa mawazo. Hivyo ni vyema kuepuka msongo huo wa mawazo.

2. Hakikisha unalala kiasi cha kutosha
Ili kuepuka kuendelea kushuka kwa kinga za mwili jitahidi kupata muda wa kupumzisha mwili kiasi cha kutosha ikiwa ni pamoja na kulala

3. Pendelea kutumia mlo kamili
Unahitaji kuzingatia aina ya vyakula unavyokula ili kuimarisha kinga za mwili zaidi epuka ulaji wa vyakula vya viwandani

4. Epuka vitu vya anasa
Ikiwa kinga zako za mwili zimeshuka jitahidi kuepuka matumizi ya pombe au sigara ambayo huweza kuchangia madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuendelea kushuka kwa kinga za mwili

5. Zingatia unywaji wa vyakula vyenye asili ya maji maji kama vile juisi n.k
6. Fanya mazoezi

Mazoezi pia huweza kukusaidia kuimarisha zaidi kinga zako za mwili

Kwa ufafanuzi zaidi na maelezo kuhusu lishe na afya kwa ujumla wake unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa hivi karibuni kwa wewe mzanzibar tutakuwa karibu nawe pale Magomeni ambapo tunataraji kufungua tawi letu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment