Monday, 7 August 2017

Matatizo ya aina 5 yanayochangiwa na msongo wa mawazo (stress)


Huenda unachukulia tatizo la msongo wa mawazo ni jambo rahisi na la kupita tu pasipo kwa na madhara ya moja kwa moja kwenye afya yako.

Sasa leo naomba nikueleze baadhi ya madhara ambayo huweza kuchangiwa na kuzongwa na msongo mkubwa wa mawazo (stress).

Zifuatavyo ni baadhi ya vitu ambavyo huweza kumtokea mtu mwenye shida ya kusongwa na mawazo:-

1. Watu wenye msongo mkubwa wa mawazo huweza kuathiri mifumo ya utendaji kazi wa moyo na upumuaji kwa ujumla.

2. Msongo wa mawazo huweza kuchangia kudhorotesha mfumo mzima wa umeng'enyaji wa chakula tumboni.

3. Msongo wa mawazo huweza kuchangia matatizo ya kubana kwa misuli kwa mhusika.

4. Msongo huu wa mawazo pia huchangia kuvuruga mfumo mzima wa tendo la ndoa na uzazi kwa ujumla.

5. Msongo wa mawazo pia huweza kuvuruga na kudhorotesha kinga za mwili ndani ya mwili.

Ili kupata ufafanuzi na maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

2 comments: 1. World Athletics Championships Starts on 5 Aug to 13 Aug in London, Olympic Stadium: https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  https://iaaf-worldchampionships.org/

  World Athletics Championships

  ReplyDelete