Wednesday, 2 August 2017

Mchanganyiko wa vitu hivi 3 unakuhusu wewe mwanaume wa ukweli


Kwa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume mtu mwenye uwezo wa kuhimili kukaa kwa muda mrefu na haja ndogo hata ni mwanume hii ni kutokana na namna ya maumbile yao yalivyo.

Hta hivyo bado kuna baadhi ya wanaume kwao imekuwa ni mtihani kukaa zaidi ya saa moja au mbili bila kwenda kupata haja ndogo  bila sababu yoyote ya msingi.

Kuna wakati hali ya kupatwa na haja ndogo mara kwa mara huweza kuchangiwa na ulaji au ulaji wa vyakula vyenye asili ya maji maji kwa wingi, lakini pia huweza kuwa dalili za kisukari.

Loe naomba niwaeleze wanaume ambao pia wanapatwa na tatizo hili la kupatwa haja ndogo mara kwa mara kuwa wanaweza kutumia mbegu za uwatu kumaliza hali hiyo.

Wanachotakiwa kufanya ni kupata mbegu hizo kisha kuzisaga na baadaye kuchanganya na tangawizi halisi na kufuatiwa na asali pia.

Baada ya hapo unaweza kutumia mchanganyiko huo kupunguza madhara ya tatizo hilo kwani huenda unafanya kazi ya kusafiri umbali mrefu na unatatizo hilo au upo ofisini na ukawa na tatizo hilo inakuwa ni kero kwako.

Hivyo fanya jitihada za kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300 tutakuelekeza bure kabisa namna ya kuandaa mchanganyiko huo kwa uzuri zaidi.

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment