Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 15 August 2017

Mwanaume: Hivi hapa vyakula vinavyopunguza hamu ya tendo la ndoa


Kuna baadhi ya vyakula huwa tunakulakila siku,lakini si vyote huwa tunafahamu umuhimu wake au madhara yake kwa afya zetu.

Leo naomba nikwambie kuhusu hiki kitoweo kinachopendwa na wanaume wengi, bila kujua kuwa matumizi yake kupita kiasi huweza kuchangia kupunguza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume.

Kitoweo hicho si kingine bali ni nyama nyekundu ambazo hapa tunajumuisha nyama za ng'ombe, mbuzi n.k

Nyama hizi zimekuwa ni kiburudisho kwa wanaume wengi hasa zinapochomwa au kuaangwa, lakini ni vyema sasa ukafahamu kuwa nyama hizi si nzuri kuliwa kupita kiasi kwani wataalam walishe wanaeleza kuwa kufanya hivyo huchangia kwenda kuvuruga vichocheo (hormones) kwa wanaume na hivyo kuchangia mhusika kupoteza shahuku ya kushiriki tendo la ndoa.

Hata hivyo, nyama pia ni chanzo kizuri cha protini na madini ya 'zinc', ambayo husaidia kujenga misuli ambayo ni muhimu pia kwa mwanaume. Hivyo si vyema kuacha kabisa kutumia nyama lakini unapaswa kula kiwango kidogo kwa mda fulani fulani hii ni kwa mujibu wa mtaalam wa virutubisho aitwaye Frida Harju

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment