Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 24 August 2017

Njia 3 asili zinazoweza kumsaidia mtu mwenye pumu


Pumu ni tatizo la kupumua ambalo mara nyingi huwapata watoto na hata watu wazima kutokana na hitilafu mbalimbali katika mfumo wa kupumua.

Pumu huweza kusababishwa na kuvimba kwa kingo za mirija ya kuvuta hewa, matatizo ya mzio (allergy), matatizo ya uyeyushaji wa chakula ndani ya tumbo pamoja na matatizo ya kisaikolojia.

Mara nyingi tiba ya pumu huwa hailengi kuponya kabisa bali husaidai kufifisha nguvu ya mashambulio ya pumu pale yanapotokea.

Moja ya njia inayoweza kutoa ahueni au kupambana na dalili za pumu ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Kitunguu Maji
Onion
Mtu mwenye dalili za pumu anaweza kula kitunguu maji baada ya kukikata unaweza kuwa vipande vile vidogo kuanzia viwili au pia unaweza kula mara baada ya kupikwa.

2. Juisi ya chungwa
Orange Juice
Kinywaji hiki nacho ni mahususi kwa watu wenye dalili za pumu kutokana na juisi hiyo kuwa na vitamin C nyingi.

3. Pia mtu mwenye dalili za pumu anahitajika kuacha matumizi ya sigara pamoja na pombe ili kuishi bila usumbufu wa tatizo hilo.

Kwa ufafanuzi zaidi au maelezo kuhusu lishe bora na asili au kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa hivi karibuni kwa wewe mzanzibar tutakuwa karibu nawe pale Magomeni ambapo tunataraji kufungua tawi letu.
Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment