Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 25 August 2017

Njia 3 za kutumia kama umeungua na huna asali nyumbani kwako

Jeraha la kuungua na vitu vya moto huweza kumtokea mtu yoyote akiwa katika shughuli zake, lakini zaidi huwatokea watoto wanapokuwa mazingira ya nyumbani hasa katika harakati za kula au kucheza.

Leo naomba nikwambie baadhi ya vitu unavyoweza kutumia pale unapopata jeraha la moyo, najua wengi tunajua kutumia asali au sukari sasa leo nakueleza vitu vingine unavyoweza kutumia pia.

1. Kitunguu Maji
Onion
Unapopatwa na jeraha la moto unaweza kutumia kiungo hiki kupunguza maumivu kwa kukata kitunguu na kukamua maji yake kwenye eneo lililoathirika (kuungua)

2. Maziwa
Milk
Unaweza pia kutumia kimiminika hiki ambapo unatakiwa utatakiwa kumwagia maziwa sehemu iliyoathirika au kama ni mkononi unaweza kuingiza mkono na kuuloweka kwenye bakuli la maziwa angalau kwa dakika 12 kabla ya kutoa.

3. Maji 
Cool Water
Unapopata jeraha la moto haraka unaweza kuchukua maji safi na salama na kuweka sehemu yenye tatizo au koloweka sehemu palipoungua kwa dakika 10 ili kupata nafuu.

Kwa undani zaidi au maelezo kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa hivi karibuni kwa wewe mzanzibar tutakuwa karibu nawe pale Magomeni ambapo tunataraji kufungua tawi letu.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment