Wednesday, 2 August 2017

Njia asili ya kumaliza tatizo la kwenda haja ndogo (mkojo) mara kwa mara


Kupata haja ndogo (mkojo) ni jambo muhimu kwa binadamu yoyote kwani ni mojawapo ya njia ya kutoa taka mwili ndani ya mwili.

Lakini kama wewe ni mwanaume halafu unaenda haja ndogo (kukojoa) zaidi ya mara 8 kwa siku basi hilo huenda ni tatizo na unapaswa kuangalia namna ya kulitafutia ufumbuzi.

Kupata haja ndogo mara kwa mara huweza kuwa ni ishara ya tatizo kwenye kibofu chako cha mkojo au dalili ya kisukari pia.

Asilimia themanini ya wanaume huweza kupata tatizo hili la kuhisi haja ndogo mara nyingi zaidi kila siku, lakini ikiwa unapata maumivu ya tumbo la chini, homa au kupata haja ndogo ambayo inachoma wakati wautokaji wake na mengine yanayotaka kufanana na hayo ni vyema ukawaona wataalam wa afya waliokaribu nawe kwa msaada na uchunguzi zaidi.

Lakini kama tatizo lako unahisi si kubwa kiasi hicho na unajikuta unahisi kukojoa kila baada ya mda mfupi basi unaweza kutumia njia hii asili wewe mwanaume kumaliza shida hiyo:-

Tumia maganda ya komamanga.
Ganda hili utapaswa kulikausha kisha saga na upate unga wake halafu tumia kijiko kidogo cha unga huo kuweka kwenye kikombe cha maji kisha kunywa maji hayo kila siku mara mbili kwa siku 5 na utamaliza tatizo hilo.

Maganda haya yanauwezo wa kupunguza madhara ya tatizo hilo kutokana na kuwa na kirutubisho kiitwacho antioxidants na vitamin muhimu ambazo huweza kupambana na hali hiyo ya kuhisi kukojoa mara kwa mara.

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800  au barua pepe dkmandaitz@gmail.com au fika ofisini kwetu Ukonga Mombasa mtaa wa Mongolandege jijini Dar es Salaaam.

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment