Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 21 August 2017

Sababu 3 zinazokufanya hadi leo hujapata mtoto


Ugumba ni hali ya mwanamke kutopata ujauzito baada ya kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu .

Zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo huweza kuchangia tatizo hilo:-
1. Tabia za utoaji mimba
Hali hii nayo huweza kuchangia tatizo hili la ugumba, utoaji mimba unahatari kubwa kwa mhusika na kuweza kupelekea makovu kwenye mfuko wa uzazi, makovu ambayo huchangiwa na vifaa ambavyo hutumika katika zoezi la utoaji mimba.

2. Msongo wa magonjwa
Mwanamke huweza kujikuta akikabiliwa na tatizo hili endapo atakuwa akisongwa na magonjwa mara kwa mara ambayo huweza kufuluga mfumo mzima wa homoni za uzazi. Mfano wa magonjwa hayo ni pamoja na kisukari au ini nk

3. Matumizi ya vileo
Unywaji wa pombe au uvutaji wa sigara huweza kuchangia tatizo la ugumba kwa wanawake.


Hayo ni machache, lakini kwa mengine mengi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300.


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment