Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 23 August 2017

Sababu 4 zinazokufanya usipungue uzito (unene) wako


Kuna baadhi ya watu utawasikia wakilalamika kuhusu uzito mkubwa au hali ya unene, na hulalamika zaidi huku wakisema kuwa wametumia mbinu nyingi lakini bado hawapungui uzito.

Leo ninazo sabbau kadhaa ambazo huchangia kutopungua uzito hata ama unatufanya 'diet' ya aina gani kamwe huwezi pungua unene wako hata hufanye mazoezi ya aina zote bado utajikuta unaendelea kuwa mzito.

1.Suala la kwanza kama bado unapenda kula vyakula vyenye sukari basi usitarajie kupungua uzito au unene wako kamwe.

2.Kama unapenda kupungua uzito na bado ni mtumiaji wa vileo usidhani kama utabadilisha muonekano wako hata kwa dawa hilo litaendelea kuwa tatizo lako hadi utakapoacha kutumia vileo.

3.Kama mlo wako unakosa protini ya kutosha basi tegemea kushindwa kufaulu zoezi lako la kupunguza uzito au unene, hivyo jitahidi mlo wako uwe na protini yakutosha siku zote.

4.Ikiwa mlo wako unakosa kiwango cha 'fiber' au nyuzinyuzi hilo nalo huweza kuathiri jitihada zako za kupunguza unene au uzito.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 769 400 800, +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment