Thursday, 3 August 2017

Sababu hizi zitakufanya mamamjamzito uanze kula embe kila siku

mango health benefits for pregnancy
Kinamama wanapokuwa katika hali ya ujauzito miili yao huhitaji karibu kila aina muhimu za vitamin pamoja na madini mbalimbali.

Miongoni mwa vitamini hizo ni pamoja na vitamin A, B6, C pamoja na madini mbalimbali kama vile magnisium, copper nk.

Miongoni mwa matatizo ambayo huwakumba kinamam wakati wa ujauzito ni pamoja na hali ya kukosa choo ambapo mama anapoamua kuanza kutumia tumba la embe anaweza kuondokana na hali hiyo kutokana na kupata nyuzi nyuzi za kutosha.

Lakini pia ili kutoshambuliwa na magonjwa ya hapa na pale wakati wa kipindi cha ujauzito mama anaweza kutumia embe na kujipatia vitamin C ambayo itausaidia mwili wake kujenga kinga imara dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Pia mama mjamzito huhitaji vitamin A ambayo husaiida kulinda afya ya macho kwa mama pamoja na kumlinda mama dhidi ya magonjwa mbalimbali pia.

Hayo ni kwa uchache tu, lakini kwa mengi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pamoja na hayo, bado unaweza kupakua Application yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment