Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 14 August 2017

Ushauri:Vyakula ambavyo si vizuri kuliwa mara kwa mara na wanaume


Kuna aina fulani ya vyakula ambavyo huenda huwa unakula karibu kila siku na usijue kuwa vinaweza kuwa chanzo cha matatizo kadhaa ya kiafya hasa ya uzazi kwa wanaume.

Ni kweli kwamba kuna vyakula vinaandaliwa vizuri na vinaladha nzuri mdomoni, lakini vinaweza kuwa na madhara kwa afya yako.

Hii hapa chini ni orodha ya vyakula ambavyo huweza kuathiri mfumo wa uzazi kwa wanaume endapo vitatumika mara kwa mara.

1. Vyakula vinavyoandaliwa kwa mafuta mengi( fried food)2. Vinywaji vyenye kiwango kikubwa cha 'caffeine' 


3. Nyama (red meat) hasa zile za viwandani


4. Soda


5. Vileo (Pombe)


Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment