Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 24 August 2017

Usipite bila kusoma hapa kama unasumbuliwa na kisukari

Tatizo la kisukari ni moja ya magonjwa yasiyoambukiza, ambayo husababishwa baada ya kongosho kushindwa kutengeneza 'insulin' ya kutosha ndani ya mwili.

Insulin ni homoni ambayo kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Kama utakuwa ni mmoja kati ya watu ambao unasumbuliwa na tatizo hili au ndugu yako anashida hii unaweza kusoma hapa chini kwanza unaweza kusaidika kwa kutumia kirutubisho hiki hapa chini;-


Kwa ufafanuzi zaidi au maelezo kuhusu lishe bora na asili au kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa hivi karibuni kwa wewe mzanzibar tutakuwa karibu nawe pale Magomeni ambapo tunataraji kufungua tawi letu.


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment