Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 24 August 2017

Vitu 6 vya kutumia kama fizi zako zinamaumivu / kuvuja damu

Inawezekana ukawa ni miongoni kati ya watu ambao huwa unasumbuliwa na tatizo la fizi kutoka damu mara kwa mara na hujajua nini cha kufanya ili kumaliza tatizo hilo.

Huenda kuna wakati umejikuta ukimega tunda na kujikuta limebaki na damu kutoka kwenye fizi kama ni hivyo basi tambua unatatizo la fizi zako kuvuja damu au zinauma.

Kama ni kweli unasumbuliwa na shida hiyo, au ndugu, rafiki yako basi mnaweza kutumia njia hizi zifuatazo kumaliza tatizo hilo.

1. Mafuta ya karafuu

2. Juisiya limao

3. Mafuta ya mdalasini

4. Kitunguu swaumu

5. Asali 

6. Mchanganyiko wa maji yenye chumvi.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment