Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 4 September 2017

Aina 4 ya vyakula vya kuepukwa na mtu mwenye tatizo la kuhara


Kuharisha ni ugonjwa ambao mara nyingi husababishwa na vimelea (bacteria) ambao huenezwa na hali ya uchafu (inzi).

Hali ya tatizo hili hasa huchangiwa na ulaji wa vyakula visivyo salama (vichafu) au vilivyoandaliwa katika mazingira yasiyosalama.

Tatizo hili linapokukumba ni vyema ufahamu unapaswa kuepuka kutumia vyakula gani ili kupunguza madhara ya tatizo hili au hata kukusababishia kudhalilika zaidi.


1. Unapaswa kuepuka kunywa maziwa kwa kipindi hicho cha tatizo hili.

2.Unapaswa kuepuka matumizi ya kahawa pia

3. Unapokuwa na tatizo hili pia unashauriwa kutokunywa vileo (pombe)

4. Unahitajika kutotumia vyakula vyenye kiwango kikubwa cha sukari pia

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment