Saturday, 23 September 2017

Aloe vera, Nazi, muarobaini huondoa upele mwilini

Vipele kwenye ngozi huweza kusababishwa na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na hali ya mabadiliko ya hewa hasa joto kali au kutembelewa na wadudu na hata maambungizi fulani fulani.

Unapokuwa na tatizo hili huweza kuwa ngumu pia hata katika uchaguzi wa mavasi ya kuvaa hasa kwa kinadada.

Leo nimeona nikwambie msomaji wangu hivi vitu vitatu unavyoweza kutumia kama unahitaji kupata ahueni au kuondoa vipele kwenye ngozi yako.

1. Tumia aloe vera

2. Mafuta ya nazi

3. Tumia muarobaini

Kumbuka kuwa unapoona umetumia njia hizo na hali bado ni vyema kuwaona wataalam wa afya ya ngozi walio karibu nawe kwaajili ya ushauri zaidi.

Ili kufahamua namna nzuri ya kutumia vitu hivyo vitatu wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku


No comments:

Post a Comment