Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 4 September 2017

Dalili 8 zitakazojitokeza kwako endapo utatumia sukari kupita kiasi

Kuna baadhi ya vyakula unapovitumia kupita kiasi hurudisha majibu kwa haraka sana katika mwili wako, miongoni mwa vyakula hivyo ni pamoja na vile vyenye sukari nyingi.

Ukiona haya yamekutokea katika mwili wako au afya yako kwa ujmla basi tambua kuwa wewe umekuwa ni mtumiaji wa sukari kupita kiasi.

1. Ukiona umeongezeka uzito ghafla

2. Ukiona unasumbuliwa na matatizo ya meno na kinywa kila siku

3. Unapoteza kumbukumbu mara kwa mara

4. Ukiona umepata kisukari hasa 'Type 2 diabetes'

5. Ukiona umeanza kusumbuliwa na shida ya moyo

6. Kuzongwa na matatizo ya ngozi

7. Kujihisi unaumwa mara kwa mara

8. Ini kushindwa kufanya kazi ipasavyo


Unaweza kuuliza maswali mbalimbali kuhusu lishe bora au virutubisho vyetu  kwa kupiga simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment