Saturday, 30 September 2017

Fahamu namna mchicha unavyoweza kupunguza maumivu ya mgongo

Mchicha ni mboga maarufu sana miongoni mwa watanzania wengi na ni moja ya mboga ambayo hataupatikanaji wake ni rahisi pia.

Mbali na mboga hii kuwa ni maarufu na kusifika kwa uwezo wake wa kuongeza damu kwa haraka lakini pia mchicha huweza kutoa ahuni kwa matatizo mengine ya kiafya.

Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na tatizo la maumivu ya mgongo.

Ili kutatua  tatizo hilo mhusika anapaswa kutafuta mchicha na kuupondaponda kisha kuutumia kwa kujichua sehemu ya mgongo yenye maumivu. Fanya hivyo mara tatu kwa siku.

Lakini pia wakati wa usiku kabla ya kulala unaweza kupasha moto mchicha na kufunga mahali pale panapouma. Kisha lala nao wakati ukiwa na uvuguvugu wake. Fanya hivyo kwa siku 5.


Kwa maelezo zaidi au ushauri kuhusu lishe bora na asili unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment