Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 9 September 2017

Faida 3 za kunywa maziwa mtindi


Maziwa mtindi ni moja ya vyakula/ vinywaji vinavyoingia kwenye orodha ya vyakula vyenye virutubisho vingi, ambavyo huwa na faida kwenye mwili wa binadamu.

Miongoni mwa virutubisho hivyo ni pamoja na madini ya calcium, iodine, phosphorus, potassium, zinc na vitamin B2, B12, B5

Zifuatazo ni baadhi ya faida zinapatikana kwa kutumia mtindi:-

1. Huimarisha kinga
Unywaji wa maziwa mtindi mara kwa mara husaidia kuupatia nguvu mfumo wa kinga za mwili na hivyo kufanya kazi vizuri ya kupambana dhidi ya magonjwa na maambukizi kadhaa.

2. Hupunguza sumu mwlini 'cholesterol '
Unapotumia maziwa mtindi halisi kabisa huweza kusaidia mwili kupunguza lehemu mbaya mwilini, lakini wakati huo hupandisha kiwango cha lehemu nzuri mwilini hivyo mhusika hujiweka mbali na magonjwa yasiyo yakuambukiza kama vile shinikizo la damu.

3. Husaidia kupunguza uzito
Maziwa haya huweza kupunguza kiwango cha mafuta mwilini na hivyo hufaa kwa wale wenye dhamira ya kupunguza uzito wa miili yao.

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment