Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 9 September 2017

Faida za ugali wa dona kiafya


Ugali wa dona ni ugali utokanao na unga usiokobolewa na miaka ya nyuma aina ya ugali huo ulikuwa ukionekana kama ni chakula cha familia duni, lakini kwa sasa jamii imeanza kubadili mitazamo hiyo na baadhi wameanza kupenda ugali wa dona.

Ifahamike kuwa unapokoboa mahindi kuna baadhi ya virutubisho hupotea kama vile vitamin, nyuzinyuzi.

Ugali wa dona unakiasi kikubwa cha vitamin, nyuzinyuzi, protini, madini, ambavyo vyote hivyo huhitajika katika kuimarisha afya zetu wanadamu.

Mbali na faida hizo za kiafya, lakini faida za kiuchumi za unga huu ni pamoja na kupunguza gharama kwani mara nyingi unga wa dona gharama yake huwa nzuri na ya chini.

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment