Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 7 September 2017

Kama unasumbuliwa na matatizo ya miguu kuuma tumia limao


Miguu na nyayo kuwaka moto ni aina ya matatizo ambayo huwapata zaidi watu ambao shughuli zao zinawalazimisha kutembea kwa mda mrefu au kusimama kwa muda mrefu pamoja na kukaa kwa hususani miguu ikiwa imening'inia.

Pia tatizo hili huweza kuwakumba watu wenye umri mkubwa na tatizo hili huweza kuchangiwa na kuwa na mzunguko dhaifu wa damu katika miguu na ukosefu wa virutubisho na madini yanayohitajika ndani ya mwili.

Moja ya mbinu ya kumaliza tatizo hili ni pamoja na kutumia zaidi vyakula vya asili ambavyo husaidia kupunguza sumu ndani ya mwili.

Ifuatayo ni moja ya mbinu ambayo huweza kutumika kukabilia na tatizo hili:-
Unachopaswa kufanya ni kuosha miguu yako kwa maji ya moto na sabuni kisha kata limao katika vipande viwili, halafu tumia kwa kupaka sehemu unazojisikia kuungua au kuwaka moto kwenye miguu yako. Fanya zoezi hilo kwa wiki tatu mfululizo asubuhi na jioni.


Kwa maelezo au ufafanuzi zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

3 comments: