Friday, 29 September 2017

Kijiko 1 cha mdalasini kinavyoweza kufanya kazi ndani ya dakika 45!Kutokana na thamani na umuhimu wa kiungo cha mdalasini inatosha kukifanya kiungo hiki kuwa moja ya mahitaji muhimu katika mlo wetu wa kila siku.
'
Mdalasini unasifika kwa kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya calcium, nyuzinyuzi  na madini chuma pia.

Moja ya sifa za kiungo hiki ni kuboresha mfumo wa umeng'enyaji wa chakula tumboni pamoja na mzunguko wa damu mwilini.

Pia unapotumia kiungo hiki husaidia kuongeza homoni ya insulin kutengenezwa kadri ya mahitaji ya mwili na hivyo mhusika kuepuka madhara ya kisukari.

Jinsi ya Kutumia kiungo hiki kwa manufaa zaidi
Kila asubuhi chukua kijiko kimoja cha unga wa mdalasini, kisha changanya na kijiko kidogo kimoja cha asali na kuongeza robo kikombe ya juisi ya embe kisha changanya halafu tumia mchanganyiko huo .

Tumia mchanganyiko huo kila siku asubuhi kwa muda wa mwezi mmoja na utaona mabadiliko ya matatizo mbalimbali yakiafya yakiwemo hayo yaliyotajwa hapo juu.

Kwa maelezo zaidi au ushauri kuhusu lishe bora na asili unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore ya simu yako kisha tafuta Mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment