Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 4 September 2017

Madhara 10 anayoweza kupata mtu mwenye kiwango kikubwa cha sukari mwilini

ruin-smile-blood-sugar
Ugonjwa wa kisukari ni moja ya magonjwa yasiyoambukiza, ambayo husababishwa baada ya kongosho kushindwa kutengeneza 'insulin' ya kutosha ndani ya mwili.

Insulin ni homoni ambayo kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Sasa leo naomba nikwambie wewe msomaji wangu madhara yanayoweza kutokea endapo kiwango cha sukari kitakuwa juu zaidi kwenye damu yako.

1. Utakuwa unapata haja ndogo mara kwa mara na unakunywa maji mengi zaidi kuliko ilivyo kawaida.

2. Unahisi umechoka muda mwingi

3. Huweza kuleta athari kwenye masuala ya uoni

4. Kuhisi maumivi ya viungo hasa kwenye maungio 'joint'

5. Uwezo wa kushiriki tendo la ndoa huweza kushuka pia hasa kwa wanaume.

6. Huweza kuchangia matatizo ya figo

7. Huweza kupelekea uwezo wa kumbukumbu kushuka

8. Huweza kuchangia matatizo ya kibofu

9. Huweza kupelekea ngozi kuharibika

10 Huweza kuchangia matatizo ya miguu

Kumbuka kuwa pia hata kama una kisukari bado unaweza kupata virutubisho ambavyo vinaweza kukupatia ahueni kwa tatizo hilo tupigie sasa kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment