Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 14 September 2017

Makundi 9 ya wanaume wenye uwezekano wa kupatwa na shida ya nguvu za kiume


Upungufu wa nguvu za kiume n ile hali ya mwanaume kushindwa kufanikiwa kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi zaidi.


Yafuatayo ni makundi ya wanaume ambao huweza kupata tatizo hilo:-

1. Wenye matatizo ya kiafya, kama ugonjwa wa kisukari na ugonjwa wa moyo, lakini si lazima kila mwenye matatizo hayo akawa na tatizo hilo pia.

2. Watumiaji wa dawa za kulevya pamoja na pombe.

3. Wenye msongo wa mawazo,sononi na wasiwasi

4. Wenye uzito mkubwa, hasa walio wanene.

5. Ambao hujichua 

6. Ambao hawashiriki mazoezi 

7. Ambao hawali vyakula vyenye lishe inayostahili

8. Wanaoishi na wanawake wenye karaha za maneno na kupenda ugomvi mara kwa mara

9. Wanaoishi na wanawake wasio wasafi hasa katika maeneo nyeti

Kwa ushauri zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 784 300 300, +255 769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment