Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 9 September 2017

Mambo 4 yatakayokufanya uendelee kuwa na afya bora


Afya bora ni mchakato wa mambo mengi katika maisha ya kila siku, hivyo si jambo la kuja mara moja na ghafla.

Ili mtu awe na afya bora anahitaji vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kula vyakula vyenye virutubisho muhimu.

Lakini leo naomba kukueleza baadhi ya mambo ambayo huweza kumsaidia mtu kuwa na afya bora zaidi.

1. Kuishi kwa kuwa na furaha

2. Kupata muda wa kutosha wa kulala na kupumzika

3. Kujihusisha katika mazoezi

4. Kuamka mapema

Kwa ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment