Monday, 18 September 2017

Mambo 5 yanayokufanya uhisi njaa sana kila wakati


Kuhisi njaa huchangiwa na kukaa muda mrefu pasipo kupata chakula cha aina yoyote, lakini kuna baadhi ya watu huweza kuhisi njaa kila baada ya mda mfupi.

Kuna sababu kadhaa ambazo huweza kuchangia mtu kuhisi njaa mara kwa mara naomba nikuwekee hapa chini orodha ya sababu hizo:-

1. Huenda unasumbuliwa na kisukari.

2. Kama ni mwanamke huenda ukawa ni mjamzito

3. Kutokulala kiasi cha kutosha.

4. Wakati wa kula unakula kwa haraka

5. Hali hii huweza kuchangiwa na matumizi fulani ya dawa


Tunaweza kukushauri kuhusu matumizi ya lishe bora na vitu vya asili tupigie sasa kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment