Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 4 September 2017

Mambo unayopaswa kuyajua kuhusu aloe vera kwenye ngozi yako

591495911
Leo Jumatatu napenda tuzungumze kuhusu masuala ya urembo na kwasasa naomba nikwambie kuhusu njia ya kutumia aloe vera kwa faida ya ngozi yako.

Miongoni mwa kazi za aloe vera ni pamoja na kuipa ngozi unyevunyevu na kuondoa hali ya ukavu pia.

Aidha, matumizi ya aloe vera husaidia pia kuzuia mikunjo ya ngozi itokanayo na uzee yaani inaweza kutumika kama 'ant aging'

Pia aloe vera husaidia kwa wale walioathirika ngozi zao kutokana na kuchomwa na mionzi mikali ya jua  au kuumwa na wadudu pia.

Kama utapenda kufahamu namna nzuri ya kutumia mmea huu unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kufika ofisini kwetu kwa ushauri zaidi kuhusu lishe bora. Tunapatikana Ukonga, Mombasa, Mtaa wa Mongolandege jijini Dar es Salaam.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment