Wednesday, 20 September 2017

Mambo yanayoweza kupelekea ukapata kizunguzungu


Kuhisi kizunguzungu ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu hakiko sawia, hivyo uchunguzi wa chanzo cha tatizo unapaswa kufanyika haraka.

Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanaeleza kuwa kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha kizunguzungu kama zifuatazo:-


1. Ukosefu wa maji mwilini


2. Ukosefu wa usinginzi (insomnia)


3. Kuumwa kichwa


4. Kuchomwa na jua kwa muda mrefu,


5. Upungufu wa sukari mwilini


6. Upungufu wa damu.


7. Uchache wa hewa ya oxygen


Kwa ushauri zaidi unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.comPia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment