
Najua mara nyingi tumeshazungumza kuhusu ugonjwa huu, lakini leo naomba nikueleze dalili muhimu na za hatari zinazoweza kuashiria tatizo la kisukari.
1. Kubanwa na haja ndogo mara kwa mara
2. Kuhisi hamu ya kunywa maji kila wakati
3. Kuhisi njaa kali mda mfupi baada ya kula
4. Upatapo majeraha huchukua muda kupona
5. Kupungua au kuongezeka uzito ghafla
6. Kuhisi uchovu kupita ilivyokawaida
7. Kupungua uwezo wa kuona
Kwa msaada zaidi kuhusu lishe bora au ushauri unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com
No comments:
Post a Comment