Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 5 September 2017

Michanganyiko 9 asili yenye uwezo wa kutoa ahueni kwa wenye pumu


Tatizo la pumu ni miongoni mwa magonjwa yanayoelezwa kama hali ya usugu ya matatizo kwenye mfumo wa hewa na mapafu.

Hali hiyo huchangia mhusika mwenye tatizo hili kupata shida wakati wa kupumua hususani pale anapobanwa na hali hiyo.

Mgonjwa wa pumu huweza kuonesha dalili za kukohoa sana, kifua kubana na pumzi kuipata kwa shida.

Asali ni miongoni mwa vimiminika vinavyoweza kutoa ahueni kwa mtu mwenye shida ya pumu, lakini mara nyingi asali hii huchanganywa na vitu fulani fulani ili kuweza kutoa matokea mazuri kwa muathirika wa tatizo hili.

Leo nimeona nikueleze msomaji wangu baadhi ya michanganyiko kadhaa inayoweza kutumiwa na mtu mwenye kubanwa na pumu ili kumsaidia.

1. Mchanganyiko wa asali na mdalasini

2. Mchanganyiko wa asali na limao

3. Mchanganyiko wa asali na maziwa

4. Mchanganyiko wa asali na manjano/ binzari

5. Mchanganyiko wa asali, tangawizi na uwatu

6. Mchanganyiko wa asali na karafuu

7. Mchanganyiko juisi ya chungwa na asali

8. Mchanganyiko wa asali, kitunguu maji na pilipili manga

9. Mchanganyiko wa asali, unga wa tangawizi na pilipili manga

Kama ungehitaji kufahamu namna ya kuandaa mchanganyiko mmojawapo kati ya hiyo 9 hapo juu unaweza kutupigia simu kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com nasi tutakuelekeza.


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment